ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 14, 2013

TWASWIRA ZINGINE ZA UKARIBISHO WA MAKAMU WA PILI WA RAIS SMZ BALOZI SEIF ALI IDDI, SEATTLE, WA

Makamu wa pili wa rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Idd akiongea na Watanzania wa Seattle  jimbo la washington siku ya Jumapili Novemba 10, 2013 kwenye tafrija ya kumkaribisha Makamu wa pili wa rais iliyofanywa na Watanzania waishio Seattle, Washington State.
Aliyesimama ni mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania Seattle, Yona Isimike akiwa meza kuu pamoja na makamu wa pili wa rais serikali ya mapinduzi Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Idd ambaye ameambatana na mkewe mama Asha Suleiman Idd (kushoto), kulia ni afisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Bwn. Suleiman Saleh.
Wapili toka kulia ni mkuu wa utawala na fedha wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, mama Lily Munanka katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa jumuiya wakiwemo baadhi ya Watanzania waliofika kwenye tafrija ya kumkaribisha makamu wapili wa rais SMZ Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
Afisa Ubalozi Suleiman Saleh akiongea jambo na Watanzania wa Seattle.
Mke wa makamu wa pili wa rais SMZ mama Asha Suleiman Idd akiwasalimia na kuongea na Watanzania wanaoishi Seattle kwenye tafrija ya kuwakaribisha iliyofanyika siku ya Jumapili Novemba 10, 2013.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


1 comment:

Anonymous said...

duu amin dola long time sijakuona mkuu umebadilika hivyo njoo home kidogo ubadilishe hali ya hewa