ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 15, 2013

UJUMBE WA LEO MESSAGE DELIVERY

Ndiyo habari ya mjini hiyoo.....

4 comments:

Anonymous said...

Naunga mkono ila c kuoa tu nakuolewa ndugu yangu

Anonymous said...

bwana Lucas naona hii week topic za ndoa ndoano ziko kwa wingi, nani huyo unampeperushia ujumbe?

Anonymous said...

yap nani atueleze anayepeperushiwa ujuembe kumeshaiva nini na kweli msemo huu upo safi muruwaa dunia ya leo ni lazima mtu ujikite sana kuchangua mwenza mwenzako other wise utakula kwako na jeuri yako ukidhani una mke au mume kumbe wenzako wanakula vyako na wewe unaambulia makoko japokuwa mali yako kila siku

Anonymous said...

Na mimi nahisi Bwana Luka ana agenda ya siri1!!!