WAZIRI MEMBE ALIPOFANYA MAHOJIANO NA CHANNEL TEN NA KUELEZEA KUTENGWA KWA TANZANIA KWENYE EAC
2 comments:
Anonymous
said...
Naomba mwenye kuelewa kwanini TANZANiA imetolewa katika huu Mungano anielezeeee maana siwaelewi kabisaaa! Tanzania tumeanza kutolewa kwenye miungano ya muhimu si Majanga haya jamani?
Nafiiri pamoja na yote,bado pia Tanzania ina maneno mengi kuliko matendo. Sawa inchi hizi hazijafuata utaratibu ambao walipaswa kuufuata Tanzania punguza longolongo na jaribu kuspeed up mambo. Swala la uzoefu wa mungano siliafiki sana ila muungano upo kwasababu ya lazima ya watu wachache na sio wote. Its just my opinion

Post a Comment