CHEKA UNENEPE UROHO WA MPONZA NESI
Nesi mmoja aliachiwa maagizo na ndugu wa mgonjwa ikifika saa 8 ampe mgonjwa chakula. Yule nesi kabla ya saa 8 akala yeye kile chakula. Ilipofika saa 8 kasoro yule ndugu akapiga cm akasema ikifka mda wa kula umlazmishe humo kuna sumu tumekubaliana wana familia kwamba afe hatuna hela za kumpeleka India! NESI pinduuu! Chini kaanguka chaliii jicho limemtoka kama ngumi!
No comments:
Post a Comment