Video ya Msanii Chismo iliyokua ikisubiriwa kwa muda mrefu sasa hipo tayari na tunapenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha katika uzinduzi wa video Jumapili hii 15/12/2013 Maisha Club.kutakuwa na red carpet kwa ajili ya wageni na coktel free karibu sana wewe ndiye mdau wetu wa nguvu. 0652 171025

No comments:
Post a Comment