ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 14, 2013

CHEKA UNENEPE

Jamaa kagombana na mkewe.Kasusa kula,kurudi kazini kamkuta mkewe kavaa kanga imeandikwa"Ukisusa wenzio wala"ilipofika asubuhi mke kavaa kanga imeandikwa"ukitoka mwenzio anaingia"
Jamaa akagoma kwenda kanzini. Mke akavaa kanga imeandikwa "hamniwezi nimemzibiti ndio mana hatoki"Jamaa akaenda kuomba ushauri kwa rafiki yake akamwambia twende nyumbani.Walipofika wakamkuta kavaa kanga imeandikwa"ulizan rafiki yako kumbe adui yako".Chezea kanga za chavda weeee.

No comments: