Paa la nyumba likiwa limefunikwa na theluji.
DMV leo Jumanne Dec 10, 2013 imechafuka tena kwa mara nyingine baada ya theluji kuanguka nyakati za asubuhi na kusababisha shule kufungwa zikiwemo ofisi za serikali, theluji hii ni mfululizo wa theluji iliyoaanza kuanguka tangia Jumapili Dec 8, 2013 na kubadilika kuwa barafu Jumatatu kuyeyuka takribani yote.
Sehemu ya kuingilia kwenye nyumba pakiwa hapapitiki.
Maua yakiwa yamefunikwa na theluji
Miti inavyoonekana katika picha
Nje ya nyumba kunavyoonekana maeneo ya Silver Spring




No comments:
Post a Comment