ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 6, 2013

DUNIA IMEMPOTEZA KIONGOZI SHUJAA NELSON MANDELA ATAKUMBUKWA DAIMA

People gathering around a statue of Nelson Mandela at the South African embassy in Washington DC
Watu mbalimbali waliofika jana kwenye Ubalozi wa Afrika Kusini Washington, DC kutoa heshima zao kwenye sanamu ya Nelson Mandela mara tu baada ya taarifa za kifo kilichotokea jana Desemba 6, 2013 nchini Afrika Kusini
Sanamu ya Nelson Mandela nje ya Ubalozi wa Afrika Kusini uliopo Washington, DC.
Watu mbalimbali wakiwasha mishumaa kwa ajili ya kifo cha Nelson Mandela.

No comments: