Mzee Maurice Mosha Enzi ya Uhai wake.
Harambee ili kuweza kufanikisha kusafirishamwili wa marehemu Mzee Maurice Mosha,Baba mzazi wa Damatusi Nambai itafanyika tar 12/15/2013 Jumapili saa 8 mchana.
Address: 3621 Campus Drive,
College Park, MD 0740
Unaweza tuma mchango wako kwa kupitiaBank of America Account No4635770004490432, MOSHA MEMORIAL FUND.
Au kwa kupitia kwa wanakamati wafuatao:
Amani Moshi 240-462-3488
Veronica Mahai 865-816-0732
Faith Isingo 240-705-1055
Jack Korasa 240-706-6831
Deo Ruta 301-520-6828
Johnson Ejalu 240-258-8399

No comments:
Post a Comment