Kazi zingine za lawama. Eti nimeteuliwa nikusanye rambirambi za kifo cha MANDELA.Hii kazi ngumu sana lakini kwa kuwa wameniamini,nitafanyaje? Maana huu ni msiba wa dunia. Tuma mchango wako kwa njia ya M-Pesa kupitia namba yangu . Kutoa ni moyo.
1 comment:
Anonymous
said...
si mnge kwenda katika ubalozo wa africa kusini na kusign kitabu cha maombolezo katika kila dunia kuna ubalozi wake mbona wabongo hivi mbona mmechelewa na kuleta utumbo utubo hapa mwenzenu niko majuu na nimekwenda katika ubalozi wa africa kusini na kusign na kupiga picha na kusalimiana na waheshimiwa ubalozini hapo kama mtanzania nimetoa mchango wangu siyo eti leo kuwekewa katika vi ma blog nakutoa umchango wako.
kuweni na kutumia busara bwana siyo kila kitu mayenu mayenu na udaku wa mitaani ya kujua ya wenzenu

Post a Comment