ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 11, 2013

Jay Z Nelson Mandela Tribute Finale - Young Forever (Live) Magna Carter ...

“Forever Young”… Hivi ndivyo mkali Jay Z anaamini !! Jay Z aliupagawisha ukumbi wa Staples Centre, juzi Disemba 9, 2013 kwenye jiji la Los Angeles , Marekani ambako anaendelea na ile Tour yake kubwa,Magna Carta World Tour pale alipofanya Special Tribute kwa hayati Nelson Mandela aliyefarikiDisemba 5, 2013 kama ishara ya heshima na upendo kwa rais huyo wa zamani wa Afrika Kusini..

Ukumbi ulizizima kwa shangwe ambazo zilisikika kutokana na kutumbuiza ngoma yake ya “Forever Young” ambapo pia alisema maneno kadhaa ya busara baadae.. Hii hapa itazame …





No comments: