WATOTO WANING'INIZWA KAMA NYAMA KLINIKI MBEYA VIJIJINI
MOJA WA HUDUMU WA KUJITOLEA TOKA MWAKA 1994 AMBAPO HAJAWAHI LIPWA POSHO AKIMPIMA MTOTO KATIKA OFISI YA MTENDAJI WA KIJIJI CHA PASHUNGU
DUUU ANGALIA MWENYEWE
2 comments:
Anonymous
said...
Mdau hii ni aibu kwa wasomaji na WaTanzania tulio wengi hapa DMV, halafu tunajidai tunayaweza mambo saaana kwa saaana. Kama kweli tukiamua kujichangishia kwa dola 10 tu tunapoingia kwenye susiku wa raha kama vile inayokuja NEW YEAR tunamwaga ngapi pale. Tushindwe kusaidia mizani za kupimia hawa watoto na hata huyu jamaa ambaye anajitolea miaka yote apate hata kifuta jasho. MDAU hebu tufikirie kusaidia wenzetu jamani tuondoe aibu hizi..

mafisadi umeiona hiyo ?
Post a Comment