ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 6, 2013

MAKAMU WA RAIS AKABIDHI TUZO ZA MUAJIRI BORA WA MWAKA 2013

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Muajiri Bora wa mwaka 2013, Meneja Rasilimali Watu wa Benki ya NMB, Rashid Nassoro, wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo hizo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempisky jijini Dar es Salaam, jana usiku
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Muajiri Bora wa mwaka 2013, Meneja wa Sera wa CCBRT, Frederick Msigala, wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo hizo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempisky jijini Dar es Salaam, jana usiku
 Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Muajiri Bora wa mwaka 2013, Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Francis Ndenje, wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo hizo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempisky jijini Dar es Salaam, jana usiku
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
 Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya jumla ya Muajiri Bora wa mwaka 2013, Meneja Uhusiano wa Nje wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, Salum Mwalimu wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo hizo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempisky jijini Dar es Salaam, jana usiku. 
 Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo za Muajiri bora wa mwaka 2013, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempinsky, jijini Dar es Salaam, jana usiku
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa makampuni na mashirika baada ya kukabidhi tuzo hizo. 
 Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya wageni waalikwa baada ya kuwasili katika ukumbi huo kwa ajili ya kukabidhi tuzo hizo. Picha na OMR

No comments: