Dr Slaa akinguruma licha ya kuwa na watu wachache waliojitokeza lakini bado alimwaga maneno
Watanzania wachache waliojitokaze katika mkutano huo jimbo la Zitto huko kigoma
Taswira mbalimbali za mkutano wa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa alioufanya jimboni kwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe jimboni Kigoma Kaskazini ambapo mkutano ulikosa watu kabisa na kujikuta peke yake kama picha zinavyojionyesha.



1 comment:
Aibu. .aibu tupu, bora hata mngemtuma Sugu...maana Mh.Sugu angetoa verses ambazo zingewavuta watu kuhudhuria mkutano..hahaha..but in realistic kumpeleka Dr.Slaa na hatimae kuaibika hivi si vizuri na hii si dalili nzuri kwa chama cha chadema kuelekea uchaguzi mkuu 2015..well hiyo ndio Kigoma na wakigoma walivyo. .waha wale jeuri sana na beef hii ni daima haiishi.suluhu ya janga hili ni kurejea mezani na kuongea na Zitto ili kunusuru chama na si vinginevyo. Mkimtoa uanachama ndo kabisaa chadema chali miguu juu.Viongozi Chadema tulizeni mizuka na mijazba yenu isio na dira.,hata Pres.Obama,ali work things out na Hillary Clinton na hatimaye alimpa cheo. vumbi na sakata lililo kuwepo kipindi cha Democrat primary election between Hillary na Obama ilikua kubwa na almost kukigawa chama lakini ustaarabu ulitumika na maamuzi madhubuti yalifikiwa kwa manufaa ya chama na kupata ushindi. Huu ni mfano wa kuigwa. Chadema wanakazi ya kubwa ya kufanya hapa,vinginevyo hakuna ushindi 2015.
Post a Comment