Mvua zabarafu yaani Freezing rain zilimwagika usiku wajana Dec 21, 2013 na kusababisha halingumu ya usafiri.
Usafiri ulikua mgumu kwa magari mabasi na hata treni.
Usumbufu wa mafuta ulikuwepo kwa ni baadhi ya sehemu zilikua hazina umeme hadi leo na huenda hali ika endelea kwa siku tatu zijazo.
Watu walikua katika kifungo cha hiari kutwa nzima ya leo Jumaapili kama kulikuwa hakuna ulazima wa kutoka ilikuwa bora kubaki nyumbani..
Mji wa Toronto, Canada unavyoonekana baada ya mvua ya barafu iliyonyesha usiku wa kuamkia leo Jumapili Dec 22, 2013 na kuleta adha kubwa ya usafiri kila kona ya Toronto na kusababisha wakaazi wa maeneo mengi kukosa umeme vikiwemo vituo vya mafuta.
Miti inavyoonekana kutokana na mvua ya barafu iliyoanguka usiku wa kuamkia Jumapili Toronto, Canada.
Miti ikionekana kugandwa na barafu ya mvuo iliyonyesha usiku wa kuamkia leo Jumapili na kuleta adha kubwa kwa wakaazi wa Toronto Canada.
Miti ikionekana kugandwa na barafu ya mvuo iliyonyesha usiku wa kuamkia leo Jumapili na kuleta adha kubwa kwa wakaazi wa Toronto Canada ikiwemo kukatika kwa umeme na vituo vingi vya mafuta kufungwa.
Miti ikionekana kugandwa na barafu ya mvuo iliyonyesha usiku wa kuamkia leo Jumapili na kuleta adha kubwa kwa wakaazi wa Toronto Canada.
Miti ikionekana kugandwa na barafu ya mvuo iliyonyesha usiku wa kuamkia leo Jumapili na kuleta adha kubwa kwa wakaazi wa Toronto Canada.
picha na Jamal Jiddawy mwakilishi wa Vijimambo, Canada
No comments:
Post a Comment