Juu n chini ni picha mbalimbali za Missy Temeke alivyoupamba usiku wa Uhuru Jumamosi Dec 7, 2013 kwenye jiji la wajanja Oakland, California. Missy T ndio CEO wa KWETU Fashion Design yenye maskani yake Washington, DC.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
16 comments:
Mumewe hana wivu nae kukumbatia wanaume namna hii au ndio fasheni
Graceana Ni wewe? Umepungua vizuri sana keep it up der.
Zipi ndo design zake??? Maana naona kina mama waliovaa "egele" za Ki-west au ndo washonaji/designer wake? Madesigner wa Kibongo kama kina Asia Idarous au Khadija Mwanamboka wakifanya fashion show wanaonyesha mamodel wao wamevaa designer za nguo zao sasa hapa tunamuona yeye na mashosti wa kibongo na nguo za ready-made! Mmmmmhh MAJANGA.
Hembu angalia hii ilivyokaa.
http://www.fashionmaniagh.com/2012/12/asia-idarous-swahili-fashion-week-2012.html#.Uqh2VNJDuX8
Tunataka kuona designs na contacts mtu akipenda kitu anakutafuta ili ashone mshono alioupenda. Is there any website unaweza una designs zako?
WAANDISHI WA HABARI WA KITANZANIA NI DHAMANA YA KUANDIKA HABARI ZA KWELI,HUYU DADA HAKUWAHI KUWA MISS TEMEKE SISI WOTE TUNAJUWA.ELIMISHENI JAMII SIO KUPOTOSHA HABARI.ASANTE
Mdada mwenye kitenge cha kijani na pink kapendezaaa!!!!
Umeamua kubani comments zetu? Tunataka tumsaidie huyu dada aendelee ukibania humsaidii. Ajifunze kutoa designs zake online na si kujitoa yeye mwenyewe. Aaangalie madesigner wa kibongo kama Khadija Mwanamboka na Asia Idarous wanavyorusha mamodels wao wakiwa wamevaa nguo zao, wanafanya fashion show wenyewe na ndiyo maana wanauza. We need bongoland designers here in USA.
Kweli nimeamini Miss Temeke ni super star,yani kweli mnaacha kazi zenu za maana mnamzungumzia yeye haaaaaaaaaa .kwa hiyo DJ luke akiweka tuu pic zake roho zinawauma mnataka kupata heart attack mnataka kila kitu awambie,chochote akifanya kiwe kizuri kibaya mtasema mlikua mnasema anakaa tuu nyumbani sasa anajishulisha mapovu ya mdomo yana watoka imekula kwenu miss Temeke do your thing baby wakuache mara milioni 70.
Sasa nguo za Khadija mwanamboka nguo zile? Her style is so lame na hata hazipendezi, si mnamuona hata yeye mwenyewe na uvaaji wake. Kidogo yule dada Asia anajitahidi ila nguo zake si international standard, watu tunataka quality si quantity.
Kaka Lundenga TUNAOMBA UTUPE WATU ULIOWACROWN FROM 1980'S kama MISS TEMEKE ili tufunge huu mjadala. Jamani mbona mnamuonea? Kweli mtu atajivalisha jina kubwa hivyo from all blogs to facebook kama hakuwahi kuwa Miss TEMEKE???
jamani tunakuzungumzia kwa sababu unataka kuzungumziwa umetowa false information hukuwahi kuwa miss temeke na tunalaumu hayo ma-blogs unayosema ku acept hizi false information mnapotosha jamii it is wrong.ulishiriki lakini hukushinda ukawa miss temeke.facts
HAPO NDIPO UTAKAPOSHANGAA SHOSTI kuwa amejivalisha.hatuna haja ya kukuzungumzia lakini una po claim umekuwa miss wa wilaya yangu wakati sio kweli ndio maana tunazungumza you need to stop.
UNaweza kuwa marufu kwa jina lako hamna haja ya kudanganya mnatuvunjia heshima
Majanga juu ya majanga hahaaaaaaa mie napita tu.
Mhh wana dc mnasumbuliwa na roho za korosho na ni ugonjwa mbaya sana na pia mungu hapendi. Hivi nyinyi hamumuogopi mungu jamani? Kila mtu na kaburi lake, muacheni afanye anachotaka na nyinyi fanyeni yenu. Kuna moto unatusubiri kujobebesha dhambi za watu haina maana. Tuacheni wivu na choyo angalieni yenu. Nawakumbusha tu
nyinyi wote mamjuwi hasaa ilivyokuwa huyu ni mtoto wa ilala,alishindwa kushiriki ilala compation ilikuwa kubwa akaenda. wilaya ya temeke,akashiriki akashindwa baadae ikajulikana alivamia wakitokea ilala.akashiriki tena awe halali.
Bring it on anonymous, bring it on baby kiti cha moto sasa na bado majina hayaanza kuingizwa mbona mengi yatafunulika!!!mmmhhh.!!!
Post a Comment