ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 8, 2013

UHURU RED CARPET DMV ILIVYOKUWA

Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 




12 comments:

Anonymous said...

Bab kubwa Vijimambo!

Now you are competing wiith Dar events, big up. Nasubiri mre photos za facebook sasa.

Pia DC naona mweketi wenu wa Dispora bado anapiga sutii ile ile.. annivesary, dispora, na jana tena.. du mwambieni anunue nyingine basi manake anatuconfuse nikiiona najua ni wakati wa harusi yake..

Anonymous said...

Luke umechemsha, unatupeleka kwenye Godown ya kuekea shehena halafu unatutoza $60.00? Come on Man!

Anonymous said...

wakina kaka tukonyuma wengi wetu tunafata mkumbo unasaahau kupiga dawa japo mara moja kwenye shuuri zetu tuangalie viatu kabla hatujava.

Anonymous said...

Na mie nimeliona hilo jamani wanaume masuti yanaziba viganja..! Suti ya DMK IMEMKAA VIZURI kati ya suti zote yeye ndio amependeza. Marekni kuna mafundi wanaoweza kupunguza urefu wa mikono... Mnatuangusha wanaume wa DC

Anonymous said...

Shughuli ilikuwa nzuri sana but nakushuri kaka luke next time weka buffet mbili za chakula, yaani mstari wa chakula ulikuwa mrefu sana na chakula kilikuwa kitamu sana but kilikuwa chabaridi, but I did enjoyed myself, jambo lingine jamani wakina kaka jitahidini kupiga pamba kidogo yaani walioko bongo wamewazidi wa huku states

Anonymous said...

Kweli dmv sijuwi dc bila loveness sioni kitu dc inawenyewe sijuwi miss temeke wako wapi ??hivi wanawake wa ulaya sijuwi kuvaa naona bora tanzania vile .vijimambo umejitahidi ka shughuli kamependeza basi usibanie

Anonymous said...

Wewe anonymous wa dec 8 2013 9:53. Usituharibie hali ya hewa. Kina DADA WOTE WALIPENDEZA NA WALIVAA CLASSY AND THEY GAT BODIES/CURVES KULIKO HAO UNAOWASEMA. Be HONEST sio kuja kuandika na kulinganisha vitu visivyolinganishwa kama unajikomba au unalipwa comission kuandika comments zisizo za ukweli hapa si mahala pake. DJ hembu chukua picha zote za kina dada wasikuhio na magauni yao ya bei mbaya na mashepu yao uzirushe ili huyu kuwadi aseme ni nguo zipi au ni nani ana beef naye au ndo wale waliokuwa wanakushutumu kucharge $60 na si ajabu huyu mtu ilimshinda na kapitwaaaaa sasa anatoa hasira zake, pole. DJ UMETUFURAHISHA WE HAD A BLAST. MY SISTERS WE ALL LOOKED MWAAAAAAAAAAAA KWA RAHA ZETU TULIFURAHI NA MDUARA TUKADUARIKA! WEYE ULIYEKUWA UMELALA NYUMBANI POLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.

PROUD TANZANIAN WOMAN!

Anonymous said...

DC NI YA WANA DMV WOTEEE HAKUNA MWENYE LABEL HAPA!!!! KAMA UPO BONGO NAOMBA UJE UTUONE WABONGO HAPA DMV TUNAVYOCHAPA KAZI NA KURELAX KWA PAMOJA BILA KUTOJALI WATU AU KIKUNDI CHA WATU FULANI KUWEPO AU KUTOKUWEPO. AS FAR AS THERE ARE TANZANIANS AROUND IS ALWAYS FUN! KARIBU DMV MAMBO YAMEBADILIKA SASA TUNASONGA MBELE NA WALE WANAOTAKA KUSONGA MBELE BILA UBAGUZI WA AINA YEYOTE. UTAONA WAKRISTO WANAKUJA KWENYE SHUGHULI ZA WAISLAMU NA SAME WAISLAMU WANAJUMUIKA MAKANISANI PAKIWA NA MISA MAALUM, JUMUIYA INATUKUTANISHA NA UBALOZI UNASHIRIKIANA NASI. Please usianze kutuletea MAJUNGU.

Anonymous said...

WEWE ANONYMOUA WA DEC.8 SAA 9:53
Marekani sio ULAYA ucha ushamba unasahihisha nini wakati wewe RAMANI YA DUNIA imekupiga chenga? nenda shuleeeee? eti 'wanawake wa ulaya sijui kuvaa naona bora Tanzania' sentensi yako yenyewe haieleweki

Anonymous said...

kuna dada ana kijungu apo hataree..kavaa short dress nyeusi na weaving nick minaj

Anonymous said...

Nilifurahi sana kuona crowd iliyokuwepo, watu wenye shughuli zao na wenye busara wengi wao ndio waliokuwepo,soo no drama queens+kings wa dc,wanaona picha sasa wanaanza kutoa frustrations zao kukaa kwenye keyboard na kuchafua hali ya hewa. Watu wameshawachoka,natumai kuna watu wanaowatakia mema wakawaambia ukweli kuwa acheni hizo,dc watu wanafikiri maendeleo binafsi,na kusaidia jamii,na nyumbani Tanzania,sio kuuza sura mitandaoni,na kupoteza muda,every minute count. Na nyie mlio wazazi,acheni tabia chafu mnaharibu future za watoto wenu.

Anonymous said...

Yap! UMENENA ANONYMOUS WA DEC 10 2013 11:55AM! NO MORE DRAMA IN DMV. Umeona eeh? Kuna watu fulani wasipokuwepo shughuli inakuwa na amani hakuna mashow-off wala nini. Na kweli crowd ilikuwa ya wastaarabu na watu wenye shughuli zao! KWELI watu waanze kuact age-appropriate maana wengi wa wazazi wana watoto wanasoma mablog, facebook sasa mwanano anakuta mama ndo amejaza matusi ya nguoni kwenye facebook yake what do you expect that child to do next?? SAME THING NAYE ATAKUWA MTUKANANJI. Hapo ndo tunajenga TAIFA la watu wasiokuwa na heshima kwa nafsi zao na wengine pia. TUBADILIKE!!!!!