
Mtoto wa marehemu John-Paul Baretto akisema machache kuhusu baba yake
Mzee Ulli Mwambulukutu aliyepata kufanya kazi na marehemu akiwa Mhariri Mtendaji wa Daily News Enzi hizo akiongea machache
Gabby Mgaya kutoka Daily News akimkumbuka Tonny
Bosi wa ITV Joyce Mhavile akisema machache kuhusu Tonny Baretto

Mjane wa marehemu Tonny Baretto, Pearl (wa pili kulia), watoto John Paul (kushoto) na Catherine Rose (kulia) na shangazi yao
Waombolezaji wakiifariji familia
Mama Rose Mwapachu na Balozi Mwapachu wakiwafariji wafiwa
John Paul akipewa pole na wadau

Poles sana John Paul...
Pole John....
Pole sana kijana wetu....


Ankal akiwa na marafiki wa karibu wa Tonny Baretto. Toka shoto ni Sukhdev Chatbar toka Arusha, Mukesh Josh, Ankal na Mkurugenzi wa Radio One Deo RWeyunga
Marafiki wa karibu wa Tonny Baretto wakisherehekea maisha ya marehemu.











1 comment:
Pole sana Ankal na wafiwa. Leo naona umekipiga hasa imebidi niangalie mara mbili mbili.
Post a Comment