
Mchezaji Peyton Manning #18 wa Denver Broncos akimtafuta mchezaji wa timu yake aliyekuwa kwenye nafasi ya kumpasia mpira kwenye mechi na New England Patriots robo ya pili ya kipindi kwenye mechi ya ubingwa wa AFC uliochezewa katika uwanja wa Sports Authority uliopo Mile High siku ya Jumapili January 19, 2014 mjini Denver, Colorado.

Mashabiki wakishangilia mechi ya Ubingwa ya AFC kati ya Denver Broncos na New England Patriots katika uwanja wa Sports Authority wa Mile High siku ya Jumapili January 19, 2014 mjini Denver, Colorado.

Mchezaji Demaryius Thomas #88 wa Denver Broncos akidaka mpira kukamilisha pasi ya robo ya pili ya kipindi na kufanya first down huku mchezaji Devin McCourty #32 wa New England Patriots akimpa pingu za miguu kwenye mcheo wa ubingwa wa AFC uliochezewa uwanja wa Sports Authority uliopo Mile High siku ya Jumapili January 19, 2014 mjini Denver, Colorado.

Mchezaji Knowshon Moreno #27 wa Denver Broncos akikimbia na mpira kwenye mazingira ya first down kwenye robo ya kwanza ya kipindi timu yake ilipocheza na New England Patriots kwenye mechi ya ubigwa wa AFC iliyochezewa uwanja wa Sports Authority uliopo Mile High siku ya Jumapili January 19, 2014 mjini Denver, Colorado.

Mchezaji Knowshon Moreno #27 wa Denver Broncos akiruka juu kukwepa kiunzi cha mchezaji Duron Harmon #30 wa New England Patriots katika kipindi cha robo ya pili ya mchezo kwenye mechi ya ubigwa wa AFC uliochezewa katika uwanja wa Sports Authority uliopo Mile High siku ya Jumapili January 19, 2014 mjini Denver, Colorado.

Mchezaji Robert Ayers #91 wa timu ya Denver Broncos akimzuwiya Tom Brady #12 wa timu ya New England Patriots kwenye robo ya pili ya mchezo wa ubingwa wa AFC uliochezewa kwenye uwanja wa Sports Authority uliopo Mile High siku ya Jumapili January 19, 2014 mjini Denver, Colorado.(picha kwa hisani ya Zimbio)
No comments:
Post a Comment