ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, January 25, 2014

DR WILBROAD SLAA NA MBUNGE WA IRINGA MJINI MH PETER MSIGWA WALIVYOZINDUA OPERESHENI PAMOJA DAIMA KYELA NA MBAMBABAY

 Mamia ya wafuasi na wapenzi wa chadema wakimsikiliza mbunge wa moshi mjini -chadema Ndesamburo wakati wa uzinduzi wa operesheni pamoja daima jana
Mbunge wa moshi mjini -chadema ndesamburo akihutubia mamia ya wafuasi na wapenzi wa chadema kwenye uzinduzi wa operesheni pamoja daima jana kiborolino
Mbunge wa singida magharibi tundu lissu akihutubia wanachama muheza tanga
 Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa Akihutubia wakazi wa Kyela, Mbeya katika ziara zinazoendelea za Operesheni Pamoja Daima jana
 Mbunge wa Iringa Mjini Mh Peter Msigwa akihutubia wakazi wa Kyela Mbeya jana
 Katibu Mkuu wa Chadsema Dr Wilbrod Slaa akimnadi Mgombea wa Udiwani jana
 Sehemu ya Umati Mkubwa Uliyojitokeza jana
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa wakati anaagana na wakazi wa Mbambabay ambao walifurika kwa wingi kwenye Uzinduzi wa operesheni Pamoja Daima, Kulia kwa Katibu Mkuu ni Mbunge wa iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa. 

1 comment:

Anonymous said...

Hana mvuto wa kuwa raisi