Dave yuko juu..huyo cjui Dotto kila siku anaongea pumba tuu..hivi hajui mpaka hao mawaziri wameondolewa kuna tume wamechunguza na wameenda kuwauliza waathirika wa hilo???Responsibility ndio imewaondoa hao mawaziri kwa kushindwa kuchukua hatua wakati hayo yanatokea...Huyo Dotto kama ana mapenzi na Nchimbi aende akamtafute wafarijiane lakini sio kwenye mambo muhimu haya eti anaongelea feelings zake twitter.kiongozi mzuri hawezi kurukia twitter angejibu hoja??/kingine hivi hawajui madawa ya kulevya hali yake bongo>???ni wizara ya nani ilikua inahusika???ni huyo huyo Nchimbi....dotto acha mapozi bila point unaongea pumba tu.
DJ Luke, my advise kwa kijiwe ni kuresearch topic wanayoongelea kabla ya kuanza kurecord. Vinginevyo wataendelea kupoteza maana nzima ya hii mijadala yenu. Mfano mzuri ni hii to topic ya tokomeza. Wakati wao wanajadili clip ya video kama ina ukweli au laa, hawajui kwamba kamati ya bunge iliundwa baada ya malalamiko ya wananchi. Mawaziri wamejiuru baada ya damaging report kutoka kwa hii kamati. Tembeleeni bunge la jamhuri site kusoma hii report na kuona unyama uliofanywa kutoka kwa mashuhuda mbalimbali. Ilikuwa vigumu kwa sisi wabunge wa CCM kuendelea kuwatetea hasa baada ya hii report. Nina uhakika wengekuwa wanaelewa kuhusu hii kamati au report yao, mjadala ungekuwa tofauti kabisa. CCM Oyee
2 comments:

Nawakilisha
Post a Comment