ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 14, 2014

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

6 comments:

Anonymous said...

Wewe unakosoa uongozi wa DMV na unataka Uongozi ukusaidie, hawa watu hawafanyi kazi ya kanisa au msikiti. kama kweli mnataka watu wabadilike, lazima uelewe umuhimu wa kuipa nguvu Jumuiya. Unataka ufaidike na nguvu za watu, hali ya kuwa unamaliza nguvu zako kwa ajili ya kuiponda Jumuiya, wacha uzembe, jiunge na Jumuiya kwa kuleta maendeleo ya kijamii.

Anonymous said...

mbona wanawake wa dmv siwaoni kwenye kijiwe wakaparticipate nawao, ningependa niwaone mimi mfatiliaji mzuri tu nipo michigan, na uhakika wapo wenye mawazo mazuri tuu

Anonymous said...

wanawake hawataki kuja

Anonymous said...

Na safari hizi ndiyo mtakoma maama hakuna kupiga kula Kama wewe si mwanachama yaani mnachekesha kweli kwani uongozi uliopo mlichaguliwa na wanachama tu?au ndiyo njia ya kutaka kukaa kwenye uongozi ndiyo wengine mmeisha Anzac kulia eti mmeweka nguvu zenu kondoo wangu hawatakuja ,Mala wengine waliingia sababu yangu kwa hiyo itabidi nibaki tu wote wanafiki tu kuna viongozi humo wanajidai saa hizi kuja kwenye vitu before walichagua pa kwenda au wapo busy yaani waTZ na madaraka

Anonymous said...

Nakubaliana na Benjamin alisema hiki ni kijiwe na maanayake Iola sasa naona mnabadilisha maana basi muanzishe kingine muongelee ya siyo ya uzushi

Anonymous said...

wabebelezeni jamani hao wanawake waje tena wale waliowasuta kina bejamin na yassin randi ndo poa sana wala wanawake

na ni kweli hii jumui hata kama haifanyi kazi kanisani wala msikitini lakini kila leo inataka ichangiwe na uwe mwanachama ndo watakusaidia wewe kila leo unachanga halafu kama hujapata matatizo hizo pesa wanakula wao na kuwapeleka shopping wanawake zao na kusafiri kwenda kwenye nyumba ndogo mifano tunayo wako sasa kuchangia tu mpate kula nyinyi waku wa dmv na huko ny pia wapo wanafanya haya hata ujuzi wa kutawala hawana wamechangulia kwa upendeleo na kujua kuchapa dommo kaya