JAMANIEEE SISI TUME CHOKA KUWAJUWA WANAONEKANA TU HATUWAJUI WALIO KUWA NYUMA YA KAMERA WALA WANAO SHUKURIWA SIKU MOJA NAO HATA WAWAHOJI TU MAJINA YAO NA NAFASI ZAO PLS
sasa wewe jamaa unayejifanya wa Michigan ulikua unataka wawe vipi?au ndiyo walewale wakifika huko wakia miezi mitatu wanabadrisha hata accent yao ya kiswahili,, hawa wapo original,yaani nilivyo kusoma akili yako ulitaka waact kama wakina Puff Dad,,usiwe mjinga fuata asili yako.
Hivi ni kwanini huyo Benja akiongea hadi atowe sauti ya ukali?yaani kwa jazba?Ebu jaribu kuongea kwa ustaarabu kidogo kama wenzako akina Jabir na wengine.
7 comments:
haya pwagu na pwaguzi twende kazi
from michiganise mdau
mtu bongo huko anajitamba ana ucle marekani mauncle wenyewe ndio hawa
mdau wa michigan
Benja ni mwishooo.unatufurahisha.
JAMANIEEE SISI TUME CHOKA KUWAJUWA WANAONEKANA TU HATUWAJUI WALIO KUWA NYUMA YA KAMERA WALA WANAO SHUKURIWA SIKU MOJA NAO HATA WAWAHOJI TU MAJINA YAO NA NAFASI ZAO PLS
sasa wewe jamaa unayejifanya wa Michigan ulikua unataka wawe vipi?au ndiyo walewale wakifika huko wakia miezi mitatu wanabadrisha hata accent yao ya kiswahili,, hawa wapo original,yaani nilivyo kusoma akili yako ulitaka waact kama wakina Puff Dad,,usiwe mjinga fuata asili yako.
Hivi ni kwanini huyo Benja akiongea hadi atowe sauti ya ukali?yaani kwa jazba?Ebu jaribu kuongea kwa ustaarabu kidogo kama wenzako akina Jabir na wengine.
Benja acha kuongea kwa sauti ya ukali jaribu kuwa mstaarabu na ongea kama mtu uliende shule.
Post a Comment