ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 21, 2014

NI UPENDO HUU WALA SIYO UTUMWA KUBARI YAISHE KAMA KWELI UNAMPENDA

Ukipenda kwa dhati hii ni kawaida kwani siri ya mtungi aijue kata mwache jamaa apigie magoti mpenzi wake ili kulilinda penzi lake,  Hapa baba organic mama organic wacha wayamalize tu.

4 comments:

Anonymous said...

nzuri sana tena inapendeza ndo maisha ya kupendana yanatakiwa yawa hivi nimeipenda sana hii picha ahsante dj luke kwa kutuwekea

Anonymous said...

Mimi aliyenifurahisha ni yule mshikaji aliyeegemea ukuta. Sijui anawaza nini.

Anonymous said...

Picha hii ni mbaya sana kwani inadhalilisha wanaume hivyo haifai.

Anonymous said...

Hiyo ni kama nyuma gest house vile na jamaa kanaswa hina bidi ufanye hivyo ili yaishe kibongobongo wote tumepitia hizo kesho kamakawa