ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 6, 2014

RAMBI RAMBI KUTOKA CCM NORTH CAROLINA

Tawi la CCM North Carolina na Jumuiya yote inapenda kutoa salamu za rambi rambi kwa ndugu na jamaa wote wa dada mpendwa marehemu Zainab Buzohera wa Washingto DC/Maryland. Marehemu alikuwa jasiri na mwenye upeo katika jamii, mpenda maendeleo na mwenye fikra njema. Zainab alikuwa ni kipenzi cha watu. Daima tutamkumbuka. Tunamuomba mwenyezi mungu aiweke pema peponi roho ya marehemu.
Amin.

No comments: