Kwa masikitiko makubwa Wana-CCM wa Houston, TX tunaungana na Wana-CCM wenzetu wa DMV na wengine wote duniani katika kuomboleza msiba wa Dada yetu mpendwa BI ZAINABU BUZOHELA DULLAH kilichotokea siku ya jana. Chama kimepoteza mpiganaji hodari ambaye mchango wake ulikuwa bado unahitajika katika kuendeleza vuguvugu za kisiasa kwenye Diaspora.
Tunatoa pole nyingi kwa familia ya marehemu . Bwana alitoa na bwana ametwaa


No comments:
Post a Comment