Sherehe za mapinduzi ya Zanzibar zilivyofana New York , Sherehe hizo zilipendezeshwa kwa show ya mavazi, chakula na music wa Asili ya mwambao kutoka kwa Dj Bilal. Balozi wa kudumu wa umoja wa mataifa New York Mh. Tuvako N. Manongi ndiyo alikuwa mgeni rasmi wa sherehe hizo. Na alitoa hotuba fupi juu ya history ya mapinduzi. Na mama Ashura Babu pia kama ilivyo kwa Mh. Balozi Manongi alipata fulsa ya kuelezea mapinduzi hayo ya Zanzibar kwa ufupi.
Katibu wa community ya Watanzania New York bwana Mhella akitoa hotuba fupi ya kuwatambulisha viongozi na kuwakaribisha ukumbini hapo.
Mh. Balozi Tuvako Manongi akiongea historia fupi ya Mapinduzi ya Zanzibar katika sherehe hio
Aunt Ashura Dualle nae akitoa hotuba fupi juu ya Mapinduzi ya Zanzibar. Aunt Ashura anakumbukumbu sahii ya Sherehe hizo kwa sababu alikuwa mke wa marehemu mwanamapinduzi hayo Abdulhaman Babu.
Mwenyekiti wa community ya Watanzania New York bwana Hajji Khamis akimtambulisha kiongozi wa Zanzibar Diaspora kabla ya Mh. Balozi kuongea.

Naibu katibu wa Community Mariam Abu akiongea
Wageni waalikwa kutoka New York Life Insurance Comapny wakielezea umuhimu wakujiunga na Bima ya maisha.
| Bwana Amani Kitali akizungumzia mambo ya maendeleo yanayotakiwa kufanywa na Watanzania wanaoishi na kufanya kazi nchi za nje. |
Msami akitoa burudani iliyowaacha wa mbavu zimetanuka kwa kicheko.
| Jessica kushoto ndiyo aliefanikisha mavazi haya ya Kinzanzibar, pongezi kwa Jessica kwa kazi mzuri pamoja na dada Asia Mwilima kwa kuweza kutoa ufafanuzi wa mavazi hayo. |
| Kwa Taswira za sherehe hiyo nenda soma zaidi |
| Mavazi ya akina mama wa Kinzanzibar |
| Kwa akina baba noa vazi hili ndiyo lina bamba visiwani huko. |
4 comments:
wamesemwa katika mablgo sasa ndo wamejivisha vihijab kama wako makka ha ha ha nimecheka sana kuona hizi picha luke ahsante mkuu blog hii inatufurahisha sana
nilikuwa sijui aunty ashura alikuwa mke wa marehmu babu sasa marehemu babu katika muungano huu yeye alikuwa hataki hilo aunty analifahamu
Safi sana New York. Mmetutoa Wazanzibar kimasomaso. Wenye wivu na wasage chupa. Tanzania Oyeee!
Uzanzibari na Uzanzibara,cant stand these Niggas..
Post a Comment