ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 1, 2014

USIKU WA KUKARIBISHA MWAKA DMV KULIVYOKUWA




6 comments:

Anonymous said...

Huyu dada MC atakuwa kauingia mji vibaya. Inabidi ajifunze public communication kutoka kwa akina Mrs Katule. Otherwise sherehe ilikuwa nzuri sana. Hongereni viongozi wa jumuiya DMV na vijimambo team.

Anonymous said...

MC wa kike unaweza ku-summarize au ku-paraphrase kilichozumgumzwa kwenye hotuba, lakini siyo kazi yako kusahihisha. Umeharibu kumsahihisha rasi wa DMV.

Anonymous said...

Dada'ngu MC umechanganya mambo. Hapa mamtoni watu hawalazimishwi kumtunza mtoa burudani. Hayo yanafanyika kwenye kitchen party za Manzese ili kupata pesa ya kuwalipa dawasco na tanesco.

Anonymous said...

Naona mheshimiwa DJ ume-mute kutoa comments. It is okay maana blog ni mali yako. Lakini kumbuka kwamba blog siyo DJ Luke peke yake. Ni watu, matukio na comments.

Anonymous said...

Mambo yalipendeza ila dada mtangazaji Bi Georgina Lema Jiepushe na kujifanya unajuwa kukosoa wakubwa au wenzio waliotangulia kuongea. wewe sema yako na songa mbele. Pia tumia neno wingi kama wageni wetu na si wageni wangu!! changu changu ni ubinafsi. Itakuharibia career!
Ulipendeza sana hongera.
Good luck to you!

Anonymous said...

Mtumzima unaharibu ndani ya blog yako umekataza matusi lakini hayo alioswemwa hadharani huyo mdada ni Matusi kama alivyosema jama wa juu hapo Blog kma unashirikisha Jumuiya sio mali yako chunga sana na commnte za kijinga zinazomvunjia mtu mudi.

Rosha haya maoni usijabanie ila Mzazi unaharibu na unajiharibia