ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 24, 2014

VIDEO JINSI DEREVA WA LORI ALIVYOZAMA KWENYE MTO KATIKA DARAJA LA DUMILA KWA UBISHI WAKE

3 comments:

Anicetus said...

Tukio hili sio kitu cha kushangaza. Hata viongozi wanaendesha nchi hivyo hivo. Viongizi wa hii barara walitakiwa wafunge hio secta ya barara mpaka wahakikishe kuwa daraja lina usalama wa kutumika kwa watu na magari yenge mbubwa. Risk mangement iwe infundshwa kwa Watanzania wote. Hii video ni nzuri sana kwa kufundisha watu kuwa- Kwa mwoga hakuna Kilio.

Anonymous said...

Heh ! Serikali inatakiwa iwahi kwenye madaraja kuwazuia madereva wa aina hii ?!

Anonymous said...

Hii video sio Dumila, ilitokea muda kidogo nchi nyingine. Tuwe tunafanya research kabla ya kutuma jamani dduh