Na sis tawi la Cuba Communist Party hapa Manyoni, tulisherehekea mpaka asubuhi. Makuku na mbuzi na pilau vilikuwa kibao. Tunawashukuru wananchi wote kwa kushiriki kwenu kwenye sherehe hii.
Mbona Watanzania mnafanya vitu vya aibu??? Hii ni kudhalilisha heshima ya hicho Chama Tawala pamoja na Balozi aliyekubali kuwa mgeni rasmi kwenye hafla hii. Mambo ya Manzese mnaleta hadi Marekani? Kama mtu anatka kufanya kazi ya uchekeshaji (Comedy) ziko shule nyingi tu aende akasomee siyo kufanya mambo ya aibu, na kwa nini akili zote ziwe kwenye mambo ya ngono tu? Tubadilike!!!
6 comments:
kweli badala ya kujenga umoja kwa watanzania nyinyi mnaleta siasa marekani.
Na sis tawi la Cuba Communist Party hapa Manyoni, tulisherehekea mpaka asubuhi. Makuku na mbuzi na pilau vilikuwa kibao. Tunawashukuru wananchi wote kwa kushiriki kwenu kwenye sherehe hii.
Majanga haswaaaaaaaaa...
Na hawa ndio wanaopigania dual citizenship...
You people are to serious

Post a Comment