ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 23, 2014

BASI LAPATA AJALI WILAYANI MAKETE BAADA YA KUGONGANA NA TOYOTA LAND CRUISER



Hii ni ajali mbaya iliyohusisha basi la kampuni ya Penguin linalofanya safari zake kati ya Makete - Njombe, baada ya kugongana na toyota land cruiser jana Jumamosi Februari 22, katika kijiji cha Mang'oto wilayani Makete

basi hilo lilikuwa likitokea Njombe kwenda makete, hadi mwandishi wetu ambaye pia amenusurika kwenye ajali hiyo anaondoka eneo la tukio, hakuna vifo ila baadhi ya abiria wamepata mchumbuko na wengine kukatwa na vioo (majeraha madogo madogo)

Taarifa kamili ya ajali hiyo pamoja na picha zitakujia baadaye kidogo, inaendelea kuiandaliwa ili uipate kikamilifu.

No comments: