![]()
Waandamaji wamefanikiwa kuingia ofisi za Ikulu baada ya polisi kuingia mitini. Waandamaji wameweka walinzi wao nje ya Ikulu, huku Waziri wa Mambo ya ndani akisema kuwa anawaunga mkono.
Waandamaji wanasema watailinda Ikulu mpaka Rais mwingine atakapokuja, lakini huyu aliyeingia mitini.
Wasaidizi wa Rais Viktor Yanukovych wanadai kuwa yuko katika mji wa Kharkhiv ulio karibu na Russia.
Wakati hayo yakiendelea Bunge limepiga kura ya kutaka kiongozi wa upinzani Yulia Tymoshenko aachiliwe mara moja kutoka gerezani.
ANGALIA LIVE NEWS
Sunday, February 23, 2014
Change Ukraine: Rais aikimbia Ikulu, mpinzani wake kuachiwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

1 comment:
Hii inakuja bongo tusipojipanga vya kutosha sababu ya watu wachache wanaopenda madaraka and hawataki kulet go.
Post a Comment