Watanzania wa New York wakiaga mwili wa mama Theonestina Rweyemamu, katika Camelot Funeral Home Mt Vernon NewYork siku ya jumatano tayari kwa maandalizi ya kusafirisha mwili huo nyumbani Bukoba Tanzania.
Watoto wa marehemu Emmanuel na kaka yake Steven wakiwa na majonzi ya kuondokewa na mama yao mpendwa Theostina Rweyemamu.
Watoto wa marehemu wakiwa wamekaa kwa majonzi
Mama Kiswaga kutoka New Jersey akiongea
Wake wa mabalozi wetu mama Manongi na mama Mwinyi walikuwepo pia kuungana na Watanzania wengine katika kuaaga mwili wa marehemu.
Katibu wa jumuiya ya Watanzania wa New York bwana Mhella akiongea kwa niaba ya jumuiya, kwa picha zaidi nenda chini.
Mmoja wa familia ya marehemu akiongea
akiongea machache juu ya marehemu
Wafanyakazi wa ubalozi wa New York
Watoto wa marehemu
8 comments:
Jamani poleni sana.
Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa Amani.
Tuko pamoja , Bwana awape nguvu.
poleni sana wafiwa wote jamani poleni sana na doris pole sana tuliwahi kukutana kwenye train nadhani utanikumbuka mtanzania mwenzako pole sana tena sana doris tutawasiliana jamani pole sana dear
Poleni sana Doris,Diana Steve mungu awape uvumilivu katika kipindi hichi kigumu. Mungu amlaze mama mahali pema peponi.
Poleni SANA jamani mungu awape wapenda
Pole sana Steve and family. It is harder to lose a parent, and I pray that God to give all strength to get through this difficult time...Rest in peace ma Tina
Tanzania diaspora- United we stand.
Thanks everyone who supported this emergency event. In all, total contribution to this emergency event was approx $13,000 in two days. This explains the power of Tanzanian Diaspora.
poleni sana jamani doris,steve,diana mungu amlaze mahali pema mama peponi amen poleni sana jaamani
mhella nimefurahi sana kukuona leo na kuchat na vituko vya mkuu i think you remember ha ha ha take care
Post a Comment