ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 23, 2014

KUNA WAKATI MAMBO KAMA HAYA YANAKUMBUSHA MBALI SANA.

Jaribu kukumbuka kama ulisoma shule za st.kayumba



habari za mfagio na kidumu cha maji utakuwa si mgeni nazo... 

Hadithi za hawafu mwenye nguvu,Pamela na kipini,Siku ya gulio,Tola anakula gizani,Watoto wageuka mawe,Mkutano wa wanyama,Nani atamfunga paka kengele?

Muwa uliozamisha meli,Sadiki na Chitemo,Jogoo wa ajabu,Chopeko na Mnofu,Sizitaki mbichi hizi,Mpapai na mtete,Sikuelewi,Kuku na yai,hapo vipi si nimekurudisha enz zko hata kama ulikuwa hautaki.

1 comment:

Anonymous said...

Naongezea....Pusi na Samaki, Kibanga Ampiga Mkoloni, Chozi na Mkumbo......ilikuwa ni sheeeedah aisee