Meneja
wa Kanda ya Kinondoni na Tanga wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Zahra Kayungwa
akitoa mada ya jinsi mwanachama wa mfuko wa Pensheni wa PPF anawezaje kupata
mafao yake kwa haraka na kwa wakati pindi anapostaafu kazini katika mkutano
uliofanyika kati ya Wafanyakazi wa Tanesco na Maofisa wa mfuko wa Pensheni wa
PPF uliofanyika mwishoni mwa Wiki mjini Tanga.
Afisa
Mwandamizi wa Uwekazaji Kutoka Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw Godbless
Robin akielezea jinsi PPF inavyowekeza katika Kujenga Nyumba za Bei
nafuu na kuwauzia pamoja na Kuwakopesha wanachama wao waliojiunga na
Mfuko wa Pensheni wa PPF kwenye mkutano na wafanyakazi wa Tanesco
uliofanyika katika Hoteli ya Navera iliyopo mjini Tanga.
Meneja
wa kanda ya Kinondoni na Tanga wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Zahra
Kayungwa akiwaelezea baadhi ya wafanyakazi wa Tanesco juu ya faida
wanazopata wanachama wa PPF mara baada ya kujiunga katika Mfuko
huo,katika Mkutano uliofanyika jijini Tanga Mwishoni mwa wiki katika
hoteli ya Navera.
Katibu
Mkuu Msaidizi wa Tuico Makao Makuu, Bw Perese Jonathan akichangia mada
wakati wa mkutano wa Tuico Kati ya Wafanyakazi wa Tanesco na Maafisa wa
Mfuko wa Pensheni wa PPF kwenye mkutano uliofanyika mjini Tanga Mwishoni
mwa Wiki.
Meneja
wa Kanda ya Kinondoni na Tanga wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Zahra
Kayungwa akiwafundisha wafanyakazi wa Tanesco kanuni ya jinsi ya kupata
mafao ya Mkupuo na mafao ya kawaida ya Kila Mwezi kutoka mfuko wa
Pensheni wa PPF katika mkutano uliofanyika Mjini Tanga mwishoni mwa
Wiki, Anayeshuhudia kushoto ni Afisa wa PPF, Bi Chevu Sepeku.
Meneja Mahusiano na Masoko wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi
Lulu Mengele akisisitiza jambo wakati akichangia mada kwenye mkutano wa
Tuico Tanesco uliofanyika Katika Hoteli ya Navera Mjini Tanga Mwishoni
Mwa Wiki.
Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa majadiliano wa TUICO tawi la Tanesco ambao
pia ni wafanyakazi wa Tanesco wakinyanyua mikono juu tayari kwa kuuliza
maswali kwa maofisa wa mfuko wa pensheni wa PPF ambao ndio walikuwa
waendesha mada katika mkutano huo uliofanyika mwishoni mwa wiki Mjini
Tanga katika Hoteli ya Navera.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa
majadiliano wa Tuico tawi la Tanesco wakipitia vitabu vya PPF kwaajili ya kujiongezea
uelewa kuhusu mfuko wa Pensheni wa PPF kwenye mkutano wa majadiliano wa Tuico
tawi la Tanesco uliofanyika mwishoni mwa wiki mjini Tanga.
Mwenyekiti
wa TUICO Tanesco Tawi la Mwanza, Bw. Salehe Mkele ambae pia ni Msimamizi wa
Wasoma Mita Tanesco Mwanza, akitoa ushuhuda wake wa jinsi ya baadhi ya
wafanyakazi wa Tanesco Mwanza ambao wamekopeshwa na walionunua nyumba za Bei
Nafuu zilizokuwa Zikiuzwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF.
Mmoja
wa Washiriki wa Mkutano wa Tuico Tanesco, Bw Hassan Athumani Ambae pia ni Mhasibu
wa Tanesco kutoka Tanesco makao makuu akiuliza swali kwa maafisa wa mfuko wa
Pensheni wa PPF ambao walikua
Baadhi
ya
washiriki wa Mkutano wa Tuico Tanesco waliohudhuria mkutano huo
uliofanyika katika hoteli ya Navera iliyopo Mjini Tanga ambapo
Waendesha mada
waliokuwa ni maofisa kutoka Mfuko wa Pensheni wa PPF.
Maofisa wa Mfuko wa Pensheni wa
PPF wakiwa katika picha ya pamoja na
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa majadiliano wa Tuico Tanesco ambao pia
ni wafanyakazi kutoka ofisi za Tanesco nchi nzima.
No comments:
Post a Comment