Founder wa Miss Tanzania USA Pageant Ma Winny Casey akiwa na Beauty Queen Miss Tanzania USA 2014 Joy Kalemera mara baada ya kuwasili ubalozi wa Tanzania Washington DC kwa Utambulisho rasmi Tarehe Feb 7, 2014.
Beauty Queen Miss Tanzania USA 2014 Joy Kalemera akitia sahihi katika kitabu cha wageni ramsi katika Ubalozi wa Tanzania Washington DC kwa Utambulisho rasmi, huku pembeni yake Founder wa Miss Tanzania USA Pageant Ma Winny Casey akishuhudia. Tarehe Feb 7, 2014.
Beauty Queen Miss Tanzania USA 2014 Joy Kalemera mara baada ya ukaribisho rasmi katika Ubalozi wa Tanzania Washington DC Tarehe Feb 7, 2014.
Mhe Balozi wa Tanzania nchini Marekani Liberata Mulamula, Miss Tanzania USA Queen Joy Kalemera na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje wakipata picha ya kumbukumbu, Feb 7, 2014
Mhe Balozi wa Tanzania nchini Marekani Liberata Mulamula, Ma Winny casey, Miss Tanzania USA Queen Joy Kalemera na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje wakipata picha ya kumbukumbu, Feb 7, 2014
Asha Nyang'anyi na Miss Tanzania USA Queen Joy Kalemera wakipata picha ya kumbukumbu, Feb 7, 2014
For More info visit www.swahilitv.info
5 comments:
amendeza sana,
but ivi kwaninin hakuna ushirkiano kati ya huyu miss wa sasa na yule aliyemaliza mda,hamuoni kwamba mkiwaweka pamoja wanaweza kufanya kitu kinachoeleweka labda wakasaidiana kwa ushauri na kufanya mikakati pamoja jinsi ya kusaidia wasichana wengine.
ni mtazamo wangu
luke usibanie comment
beautiful! nimependa vivazi vyenu vya khanga
Haya ni majanga tupu!!
Anonymous wa kwanza umesahau kuwa huyo wa kwanza hakupitia process ya kuchaguliwa na judge yeyote yule? Ndiyo maana huyu anatambulika kama the first ms Tanzania USA. Hapajawahi kuwa na Tanzania beauty pageant hapa USA, 2013 was the first one. Huyo unayemsema was 2012 na ndiyo maana hakumrithisha crown huyu wa sasa. Tofauti utaiyona atakapochaguliwa mwingine patakiwa na official urithi from the first to the second.
Weye unayesema majanga ni yapi? Watanzania bwana hivi kitu gani mtu atafanya akasifiwa? STAY TUNED FOR MORE TO COME!!! LETS SUPPORT THIS YOUNG LADY, SHE IS AN INSPIRATION TO MANY YOUNG TANZANIANS HERE IN USA, HASA WALE MLIO VYUONI. SHE MADE IT HERE IN USA AS A HUMBLE TANZANIAN FEMALE CHEMICAL ENGINEER AT THAT YOUNG AGE, "SKY IS YOUR LIMIT" KEEP DREAMING AND ONE DAY YOUR DREAM WILL COME TRUE. Tumsupport and lets be proud of our own. Jivunie chako!
Post a Comment