Luke weka vitu vya maana mpwa humu kwenye blogu ya Vijimambo maana haya madudu naona umechanganya sana kuyaweka weka... Ushauri tu ni kwamba achana nao haya madudu yooooooteee ya UDAKU wa kibongo,Naomba uweke vitu vya kuelimisha jamii. Kila la kheri na kazi njema -PAKAJEUSI
USHAURI wa bure: umaarufu HAUNA MAANA. tafuta mtu akuoe uzae watoto utulie usichana ukikutoka tu basi umekwisha hata hayo mambo ya kuongea kama mtoto acha KUA SASA na pia pick your friends, huyo naima sijui nani achana nae cut her off your life, sounds like she wasnt your friend from the beggining, anyways, mstzzz.
NAIMA; iF he is doing it with you he will do it TO YOU, honey your time is coming.
mpeni uhuru atoe lake moyoni kwama nyinyi hamtaki wenginewe tunayapenda mambo haya ya udaku udaku tena tunawapenda hawa wote wawili vibaby moto moto wa kuutea mbali so tuachiyeni raha zatu . dj luke uko juu babakeee kwa kutupa habari moto moto thanks man
si eti udaku wa kibongo mbona hata marekani kuna kila aina ya udaku na watu wanawa kopi life style za hao master hata kama hana uwezo.so cut it off .
kwanza mjiulize hii blog ni ya nini hasa tukiwa tunaaelimishana bila kuburudishana na utani wa hapa na pale unadhani wataingia watu lazima blog hii dj luke mpwa ajichanganye na mambo haya yote ndo maana ukaitwa blog si educative class room.
ka kuchukuliana mabwana mbona wa bongo wanazo sana hata wakiwe ulaya ya aina gani wao ndo zao hizi so msishangae kwanza wanaume wako kidogo wanawake wengi so chukuneni na jivurugeni nao.

9 comments:
Vijimambo mmeanza kutuletea udaku. Nani anahitaji huu udaku wa Wema Sepetu?
Naona hana la kuzungumza
Luke weka vitu vya maana mpwa humu kwenye blogu ya Vijimambo maana haya madudu naona umechanganya sana kuyaweka weka... Ushauri tu ni kwamba achana nao haya madudu yooooooteee ya UDAKU wa kibongo,Naomba uweke vitu vya kuelimisha jamii.
Kila la kheri na kazi njema
-PAKAJEUSI
wema:
mtu wako wa kweli atakuja tu achana na huyo bwana
USHAURI wa bure: umaarufu HAUNA MAANA. tafuta mtu akuoe uzae watoto utulie usichana ukikutoka tu basi umekwisha hata hayo mambo ya kuongea kama mtoto acha KUA SASA na pia pick your friends, huyo naima sijui nani achana nae cut her off your life, sounds like she wasnt your friend from the beggining, anyways, mstzzz.
NAIMA;
iF he is doing it with you he will do it TO YOU, honey your time is coming.
*****m sipping tea****
mambo ya kuchukuliana mabwana bado yako tu??? mmmh huyu dada ni hafai, unacheka nae kumbe anakuchukulia bwana ha ama kweli watu hawana haya
ina maana wema ame thibitisha kuwa naima kamchukulia, diamond lazima anacheka pahali
mpeni uhuru atoe lake moyoni kwama nyinyi hamtaki wenginewe tunayapenda mambo haya ya udaku udaku tena tunawapenda hawa wote wawili vibaby moto moto wa kuutea mbali so tuachiyeni raha zatu .
dj luke uko juu babakeee kwa kutupa habari moto moto thanks man

Post a Comment