ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 6, 2014

MSIKILIZE WEMA AKIFUNGUKA KUHUSU KUCHUKULIWA BUZI LAKE NA RAFIKI YAKE NAIMA

9 comments:

Anonymous said...

Vijimambo mmeanza kutuletea udaku. Nani anahitaji huu udaku wa Wema Sepetu?

Unknown said...

Naona hana la kuzungumza

Anonymous said...

Luke weka vitu vya maana mpwa humu kwenye blogu ya Vijimambo maana haya madudu naona umechanganya sana kuyaweka weka... Ushauri tu ni kwamba achana nao haya madudu yooooooteee ya UDAKU wa kibongo,Naomba uweke vitu vya kuelimisha jamii.
Kila la kheri na kazi njema
-PAKAJEUSI

Anonymous said...

wema:

mtu wako wa kweli atakuja tu achana na huyo bwana

USHAURI wa bure: umaarufu HAUNA MAANA. tafuta mtu akuoe uzae watoto utulie usichana ukikutoka tu basi umekwisha hata hayo mambo ya kuongea kama mtoto acha KUA SASA na pia pick your friends, huyo naima sijui nani achana nae cut her off your life, sounds like she wasnt your friend from the beggining, anyways, mstzzz.

NAIMA;
iF he is doing it with you he will do it TO YOU, honey your time is coming.

*****m sipping tea****

Anonymous said...

mambo ya kuchukuliana mabwana bado yako tu??? mmmh huyu dada ni hafai, unacheka nae kumbe anakuchukulia bwana ha ama kweli watu hawana haya

Anonymous said...

ina maana wema ame thibitisha kuwa naima kamchukulia, diamond lazima anacheka pahali

Anonymous said...

mpeni uhuru atoe lake moyoni kwama nyinyi hamtaki wenginewe tunayapenda mambo haya ya udaku udaku tena tunawapenda hawa wote wawili vibaby moto moto wa kuutea mbali so tuachiyeni raha zatu .
dj luke uko juu babakeee kwa kutupa habari moto moto thanks man

Anonymous said...

si eti udaku wa kibongo mbona hata marekani kuna kila aina ya udaku na watu wanawa kopi life style za hao master hata kama hana uwezo.so cut it off .

kwanza mjiulize hii blog ni ya nini hasa tukiwa tunaaelimishana bila kuburudishana na utani wa hapa na pale unadhani wataingia watu lazima blog hii dj luke mpwa ajichanganye na mambo haya yote ndo maana ukaitwa blog si educative class room.

ka kuchukuliana mabwana mbona wa bongo wanazo sana hata wakiwe ulaya ya aina gani wao ndo zao hizi so msishangae kwanza wanaume wako kidogo wanawake wengi so chukuneni na jivurugeni nao.