ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 8, 2014

NGASSA APIGA TATU YANGA IKIUA 7 BILA MAJIBU NDANI YA DIMBA LA TAIFA

Ngassa alikuwa mwiba kwa Wacomoro baada ya kupiga goli tatu pekeyake katika ushindi wa goli 7 bila majibu walioupata Yanga katika. Ngassa aliondoka na mpira wake maana ndiyo sheria ukirudi nyavuni mara tatu unatakiwa kuondoka na mpira.
Wacomoro walijikuta wakimsindikiza tu Ngassa hadi nyavuni kama unavyomuona akichanja bunga. Yanga kwa ushindi huo wamesema watapeleka timu B kwenye mchezo wa marudioano.
Bao hilo golikipa akiangukia pua wakati akijaribu kuokoa mpira huo uliojaa nyavuni
Kiiza nae kama kawaida alipiga lake yani ulikuwa mwendo wa piga mwizi nusu ya timu ya Wacomoro kila mmoja aliondoka na goli moja moja.
Hapa wakilaumiana baada ya kufungwa goli la 3 lakini kila muda ulivyozidi kuyoyoma waliamua kuto kulaumia tena maana akukuwa na wakumnyooshea kidole mwenzake. Picha kwa hisani ya Mtaa kwa Mtaa Blog!!!

No comments: