Serikali imekanusha taarifa zilizochapishwa na gazeti la daily mail la nchini Uingereza kuwa hakuna jitihada zozote zilizofanywa kukabiliana na ujangili nchini na kuziita taarifa hizo kuwa ni uzushi,uongo na upotoshaji wa hali halisi ya vita dhidi ya ujangili nchini.
No comments:
Post a Comment