Hiki ni Kijiwe Kikubwa sana Pale Kigoma Ujiji Cha Mh;Zitto kabwe Tawi la URUSI,Wazee na Vijana hukutana hapa Kuzungumzia siasa za nchi hii,Asilimia 99.9 ya wanaokaa kwenye Kijiwe hiki ni Wafuasi wa ZItto Kabwe.Kila siku kunakuwa na Ujumbe mbalimbali,Hii leo huu hapa.
1 comment:
nimeipenda sana hii...iko siku wabongo wataamka..kwani ni nani aliejua kua pamoja na ubabe wote wa akina Hosni Mubarak na Gaddaffi lakini nguvu ya umma iliwaondoa???yuko wapi Saif Al Islam???tupo pamoja sana.
Post a Comment