UZINDUZI WA ALBAMU YA EXTRA BONGO: RED CARPET YA DAR LIVE!
Baadhi ya safu ya wanenguaji mahiri wa kiume wa Extra Bongo.
Amini akishoo Love na Linah (kushsoto) pamoja na mwimbaji wake.
Baadhi ya safu ya wanenguaji wa kike mahiri wa Extra Bongo.
Wanenguaji katika pozi poa.
Khadija Kopa na Abdul Misambano wa TOT.
Khadija Kopa, Misambano na 'Okwi' shabiki wa Yanga.
Lina na 'back-up singer' wake.
Mamaa Winnie Masanja, mama watoto wa mwanamuziki Banza Stone.
Mke wa 'Mkubwa' Said Fela (kulia).
Mmoja wa wanamuziki wa Mashujaa Band, Gado.
TX Moshi Jnr wa Msondo Music Band.
Wadau wa Dar Live.
Wasanii Linah na Amini.
(Picha: Abdallah Mrisho/GPL)
2 comments:
Anonymous
said...
Kilichonichefua pale nilipoona kiongozi wa bendi akiitumia ambulance kama sehemu ya promo ktk uzinduzi huu.Jamani watanzania tumefikia hatua ya kukodisha ambulance ktk shughuli za starehe wakati chombo hiki muhimu kikishindwa kutoa huduma kwa wananchi pale kinapohitajiaka ?This is wrong!wrong!
Kilichonichefua in the whole thing nipale kiongozi wa bendi alipoingia ukumbini akiwa amebebwa kwenye Ambulance. Jamani, tumefikia hatua ya kukodi ambulance kwenye promo ihali chombo hiki muhimu kikishindw kuwahudumia wananchi km inavyo takiwa wakati wa dharura kwakutoa visingizio kibao ie hatuna mafuta etc..That was wrong!wrong!

Post a Comment