ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 27, 2014

WAZIRI WA KAZI NA AJIRA GAUDENSIA KABAKA AFUNGA RASMI MKUTANO MKUU WA TATU WA WADAU WA PSPF

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akifunga Mkutano Mkuu wa tatu wa wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF ulifanyika tarehe 26 na 27 mwezi februri mwaka huu kwenye Ukumbi wa Mwl Nyerere jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, akimkaribisha Waziri Kabaka ili kufunga Mkutano Mkuu wa tatu wa wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF ulifanyika tarehe 26 na 27 mwezi februri mwaka huu kwenye Ukumbi wa Mwl Nyerere jijini Dar es Salaam
Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF, akikabidhi zawadi maalumu kwa Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka
Wakurugenzi wa idara mbalimbali za mfuko wa Pensheni wa PSPF, mstari wa mbele, wakiwa miongoni mwa wajumbe waliohudhuria mkutano mkuu wa tatu wa wadau wa mfuko huo kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa julius Nyerere jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji wa PSPF, Gabriel Silayo (kushoto) na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa PSPF, Masha Mshomba
Mkurugenzi wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS), Mwajaa Sembe akiwasilisha mada juu ya manufaa yanayopatikana kwenye mpango huo wa uchangiaji wa hiari
Mkurugenzi Mkuu wa SSCRA, Irene Kisaka (kulia) akijadili jambo na mmoja wa wadau wa mfuko wa PSPF
Wadau wa PSPF wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa Mkutano Mkuu wa Tatu wa Wadau wa Mfuko huo








Baadhi ya watumishi wa PSPF katika picha ya pamoja mara baada ya mkutano huo kumalizika
Meneja wa Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa PSPF, Costantina Martin (katikati) akiwa na Afisa mawasiliano Coleta Mnyamani (kulia) na Afisa Masoko, Mawasiliano na Uenezi, Queen Edward (kushoto).

No comments: