ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 22, 2014

ANGALIA RECORDED LIVE MISA YA KUMKUMBUKA MPENDWA WETU CAROLINE MWAISELAGE DMV



Video streaming by Ustream
Hii ni Recorded video ya misa ya kumbukumbu ya mpendwa wetu Caroline David Mwaiselage iliyofanyika leo Jumamosi March 22, 2014 College Park Maryland katika kanisa la the way of the cross gospel ministries kama ulikosa live basi angalia jinsi misa ilivyokua

5 comments:

Anonymous said...

Mungu akubariki sana vijimambo kwa kutuwekea hiyo misa, sisi tuliokuwa mbali na nyie tumefarijika sana na maombi ya ndugu na marafiki wa Caro!!! Mungu aibariki sana familia na kuipa nguvu katika kipindi hiki kigumu!!!!!

Anonymous said...

Asante sana tumefurahi sana kuona misa ya mpendwa wetu Caroline mwaiselage Live.Mungu awabariki

Anonymous said...

Jamani inasikitisha sana kuona watoto wadogo hawana mama. RIP Carol

Anonymous said...

Asante sana vijimambo kwa kutuonyesha hii misa. Mungu awabariki R.I.P Carol!

Anonymous said...

kwa kweli huyo mtoto mkubwa wa caro ameniliza sana jinsi alivyokuwa analia hata kusimama hawezi, mwambieni mungu yupo nae maisha yake yataendelea vizuri tu hata bila mum, vijimambo tunakushukuru kwa kutuonyesha hii misa,