ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 30, 2014

DK. MARIA KAMM NDIYE MSHINDI WA TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14


Dk. Maria Kamm ametwaa tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 iliyotolewa na Global Publishers akiwashinda Dk. Migiro, Prof. Tibaijuka na Anne Kilango!

2 comments:

Anonymous said...

Congratulations Dr kamm, you deserve it, I love this woman

Anonymous said...

HakuwaShinda bali amewazidi.. kushinda ni pale wahusika wenyewe wanaposhindana.