ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 19, 2014

JABIR JONGO, FADHILI LONDA WACHUKUA FOMU NAFASI YA UKATIBU CCM DMV


Uongozi wa ccm DMV ulikabidhi fomu za maombi ya kugombea nafasi ya KATIBU kwa Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi Ndugu Jabir Jongo akiwepo mmoja wa wajumbe wa kamati, ya uchaguzi ndugu Fadhil londa uchaguzi unatarajiwa ufanyike tarehe 12 mwezi ujao hakikisha, una kadi yako uliyoilipia ili uweze kupiga kura

3 comments:

Anonymous said...

Na sisi wana Republican party hapa Ushirombo wote mankaribishwa kuchukua fomu za uongozi wa Tawi.

Republican Pary oyyeeeeeeeeeeeeeeeeee

Anonymous said...

Mdogo wngu Jongo naona mambo yamekushinda unaona umekalia kuti kavu unajaribu kuitafuta bichi!! halipatikani hivyo! Pole.

Anonymous said...

Mr Jongo Jabir, jua hakuna njia ya mkato ikiwa mambo hayaendi sawia ni lazima uwajibike! Utawaambia nini wanaDMV kipya. Yaani kama unaitaka hii iwe poa uende ukagombee bongo TZ.