ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 17, 2014

JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA KUWASILISHA RASIMU YA KATIBA KESHO

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgESJGf0QY1y0xeW021_6mDSywyHHAvzEzsMzglfByrUcPJpaB2BKF9gPjPYfLgCqs5YqmCbjs-7GUgrQVedcxjm3elNU2sfHjmHuMdJOs6LeAkBeMS_IK7yR7uk-XVdmXJkS_LdHpZpn_u/s1600/unnameddg.jpg
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akijiandaa kuwasilisha rasimu ya Katiba Mpya. Hata hivyo zoezi hilo liliahirishwa hadi kesho wakati baadhi ya wajumbe waliposimama na kutaka  baadhi ya kanuni walizojiwekea zifuatwe, baada ya kuonekana hazikufuatwa. 

Muafaka ulifikiwa baadaye na rasimu hiyo itawasilishwa kesho kwa Jaji Warioba kufanya hivyo kwa masaa manne badala ya moja ama mawili yaliyopendekezwa awali. 

Picha na Deusdedit Moshi
wa Globu ya Jamii, Dodoma

No comments: