Jana Jumapili March 16, 2014 kulifanyika kisomo cha mzee Mshare ( baba wa mwanajumuiya mwenzetu Himidy Mshare) ambaye alifariki dunia wiki chache zilizopita huko Dar es Salaam.Shughuli hiyo ilifanyika kwenye msikiti wa Hayes uliopo barabara ya Westheimer jijini Houston na kuongozwa na Ustaadhi Jadi Malumbo.
Mfiwa Nd.Himidy kulia akibadilishana mawazo na Rahim Chomba
Mjukuu wa marehemu Mzee Mshare , Ibra Himidy (wa pili kutoka kushoto) akiwa na watoto wenzake
Kutoka kushoto, Andrew, Ally, Himidy na Totoo
Ustaadh Jadi na Ndikumana
No comments:
Post a Comment