KWA MSIO ELEWA SERIKALI TATU NI MARAIS WATATU,MCHORO HUU HAPA
Credit Mwananchi.
Unasemaje Utitiri huu Wa Viongozi kwa Nchi inayoendelea Kama Tanzania?
7 comments:
Anonymous
said...
thats very bad/poor ideas who put this ideas forward.the country is poorest already,they want spend more money paying leaders than fixing country. no wonder tuna ngozi ya? watoto wanakufakila siku hamna dawa, hospital in bad condition come on guys, it doesnt make sense. i hope will fail this idea.
Angalia na hoja zinazopelekea huo uundwaji wa seriksli. Tume haikukurupuka binafsi nimesikiliza hotuba ya warioba mwanzo hadi mwisho na alijitahidi kufafanua na kuchambua hoja zilizowafanya wakafikia uamuzi huo. Kwahyo jitahidi upate ile hotuba uisikilize tena usilishwe maneno
Uroho na ubinafsi ...nchi masikini haihiitaji utitiri wa viongozi:( tayari tunawalipa wakina Warioba pesa nyingi kama wastaafu:( sidhani kama mTanzania mlalahoi anakubaliana na muundo huu wenye kutoa nafasi zaidi kwa wanasiasa na kuongeza mzigo wa kodi kwa mlalahoi :( Serikali moja kama hatuwezi mbili tutafika vipi kwenye nchi moja serikali moja kwa muundo wa serikali 3?
Upande wangu naona serikali tatu itakua mzigo maana hata raisi wa muungano itabidi awe na mawaziri wake. Hii itakua gharama kubwa sana kwa inchi kama Tanzania
Kama munaona hiyo noma. Basi Tanzania wacha iitwe Zanzibar. Raisi atoke Pemba. Mawaziri wa Zanzibar watoke Pemba na nyie mutakua na Tanganyika na Raisi wenu atakuja Zanzibar kma waziri asie na wizara. Watu wote watabeba passport za Zanzibar na Pesa itakuwa na nembo ya Benki of Zanzibar. Ili tuondoe kero za Mungano. Au vipi?
Hahahaha huyu jamaa wa mwisho ana hasira sana. Kimsingi mimi nadhani kwa sura ya muungano wa sasa lazima kuubadili tu hakuna namna ni mbovu na usiotibika.Hatuwezi kuwa na muungano ambao Zanzibar ni nchi kamili tena ina hadi katiba yake, lazima kuwe na Tanganyika pia na kisha serikali ya muungano.Umaskini hauwwzi kuondolewa kwa kuwa na serikali mbili hata kidogo.
7 comments:
thats very bad/poor ideas who put this ideas forward.the country is poorest already,they want spend more money paying leaders than fixing country. no wonder tuna ngozi ya? watoto wanakufakila siku hamna dawa, hospital in bad condition come on guys, it doesnt make sense.
i hope will fail this idea.
Angalia na hoja zinazopelekea huo uundwaji wa seriksli. Tume haikukurupuka binafsi nimesikiliza hotuba ya warioba mwanzo hadi mwisho na alijitahidi kufafanua na kuchambua hoja zilizowafanya wakafikia uamuzi huo. Kwahyo jitahidi upate ile hotuba uisikilize tena usilishwe maneno
Uroho na ubinafsi ...nchi masikini haihiitaji utitiri wa viongozi:( tayari tunawalipa wakina Warioba pesa nyingi kama wastaafu:( sidhani kama mTanzania mlalahoi anakubaliana na muundo huu wenye kutoa nafasi zaidi kwa wanasiasa na kuongeza mzigo wa kodi kwa mlalahoi :( Serikali moja kama hatuwezi mbili tutafika vipi kwenye nchi moja serikali moja kwa muundo wa serikali 3?
Upande wangu naona serikali tatu itakua mzigo maana hata raisi wa muungano itabidi awe na mawaziri wake. Hii itakua gharama kubwa sana kwa inchi kama Tanzania
Kama munaona hiyo noma. Basi Tanzania wacha iitwe Zanzibar. Raisi atoke Pemba. Mawaziri wa Zanzibar watoke Pemba na nyie mutakua na Tanganyika na Raisi wenu atakuja Zanzibar kma waziri asie na wizara. Watu wote watabeba passport za Zanzibar na Pesa itakuwa na nembo ya Benki of Zanzibar. Ili tuondoe kero za Mungano. Au vipi?
Hahahaha huyu jamaa wa mwisho ana hasira sana. Kimsingi mimi nadhani kwa sura ya muungano wa sasa lazima kuubadili tu hakuna namna ni mbovu na usiotibika.Hatuwezi kuwa na muungano ambao Zanzibar ni nchi kamili tena ina hadi katiba yake, lazima kuwe na Tanganyika pia na kisha serikali ya muungano.Umaskini hauwwzi kuondolewa kwa kuwa na serikali mbili hata kidogo.
Mi naona bora ziwe mbili tu zinatosha
Post a Comment