ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 20, 2014

MASTAA WA KIKE WANAJITONGOZESHA

Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Slim Omar.
Na Gladness Mallya
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Slim Omar amefunguka kuwa mastaa wengi wa kike Bongo Movies wanajitongozesha wenyewe.
Akifunguka kwa sharti la kutowataja majina wahusika, alisema anayo listi ndefu ya mifano ya wasanii ambao wanapenda kujitongozesha hivyo ni vyema wakaacha maana siyo tabia nzuri.
“Ni aibu kwa mastaa wa kike, niwasihi waache hako kamchezo maana kanawashushia heshima mbele ya jamii, wasinichukie, naongea ukweli,” alisema Slim.

No comments: